Autberi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Autberi (pia: Aubert; Haucourt, 600 hivi - Cambrai, leo Ufaransa, 669 hivi) alikuwa mmonaki, halafu askofu wa Arras na Cambrai kuanzia mwaka 633.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Desemba[1].