Burl Ives
Mwanamuziki wa Marekani(1909-1995) / From Wikipedia, the free encyclopedia
Burl Ives (Juni 14, 1909 - Aprili 14, 1995)[1] alikuwa mwanamuziki, mwigizaji, na mwandishi wa Marekani ambaye kazi yake ilichukua zaidi ya miongo sita. Ives alianza kazi yake kama mwimbaji msafiri na mpiga gitaa, hatimaye akazindua kipindi chake cha redio, (The Wayfaring Stranger) kipindi hicho kilieneza nyimbo za kitamaduni Mnamo 1942, Mnamo miaka ya 1960 alifanikiwa kurekodi miziki kama "A Little Bitty Tear" na "Funny Way of Laughin".[2]Ives pia alikuwa mwigizaji maarufu wa filamu hadi mwishoni mwa miaka ya 1940 na ya 1950.[3][4]