Busia, Kenya
From Wikipedia, the free encyclopedia
Busia ni mji wa Kenya Magharibi, makao makuu ya kaunti ya Busia[1].
Kwa maana nyingine, tazama Busia (maana).
Ukweli wa haraka Nchi, Kaunti ...
Busia | |
Mahali pa mji wa Busia katika Kenya |
|
Majiranukta: 0°27′50″N 34°06′08″E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Busia |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 51,981 |
Funga
Kadiri ya sensa ya mwaka 2009, mji ulikuwa na wakazi 51,981, na hivyo kuwa mkubwa kuliko yote ya kaunti[2].