Cassandra Harris
From Wikipedia, the free encyclopedia
Cassandra Harris (15 Desemba 1948 ā 28 Desemba 1991) alikuwa mwigizaji wa filamu wa kike kutoka nchini Australia. Pia alikuwa mke wa mwigizaji na mtayarishaji wa filamu Pierce Brosnan. Sababu ya kifo chake ilikuwa kensa.