Chris Rock
Mchekeshaji, mwigizaji, mwandishi, mtayarishaji wa televisheni, mtayarishaji wa filamu, na mkurugenzi wa nchini Marekan / From Wikipedia, the free encyclopedia
Chris Rock (alizaliwa Georgetown, South Carolina, Februari 7, 1966) ni mchekeshaji maarufu katika nchi ya Marekani. Anajulikana kama “stand-up comedian” kwa vichekesho yake kuhusu ubaguzi wa rangi. Chris Rock ni mwigizaji, mwandishi, mtayarishaji na mwongozaji wa filamu pia[1].
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Nchi ...
Chris Rock | |
Amezaliwa | Rosalie na Julius Rock Februari 7 1966 Georgetown |
---|---|
Nchi | South Carolina |
Kazi yake | mchekeshaji,Mwongozaji wa filamu |
Funga