Everybody Hates Chris
From Wikipedia, the free encyclopedia
Everybody Hates Chris ni safu ya vipindi vya vichekesho vya televisheni kutoka Marekani ambayo imeundwa na Chris Rock na Ali LeRoi na kufanyika kwenye UPN na The CW kuanzia tarehe 22 Septemba 2005 hadi 8 Mei 2009.