Gudula
From Wikipedia, the free encyclopedia
Gudula (kijiji kimojawapo cha Brabant, leo nchini Ubelgiji, 646 hivi - Hamme, leo nchini Ubelgiji, 680/714) alikuwa mwanamke Mkristo wa karne ya 7 aliyejitosa katika maisha ya sala na matendo ya huruma nyumbani mwake huko Moorsel.
Alikuwa mtoto wa Amalberga wa Maubeuge na dada wa Farailde, Reinilde na Emebati, wote watakatifu[1].