Guinea MpyaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Guinea Mpya ni kisiwa kikubwa katika Pasifiki upande wa kaskazini wa Australia. Ni kisiwa kikubwa cha pili duniani baada ya Greenland. Mahali pa Guinea Mpya duniani Guinea Mpya Eneo la kisiwa limegawiwa kati ya mataifa mawili: upande wa magharibi ni mikoa ya Indonesia ya Papua na Papua Magharibi. upande wa mashariki ni nchi huru ya Papua Guinea Mpya
Guinea Mpya ni kisiwa kikubwa katika Pasifiki upande wa kaskazini wa Australia. Ni kisiwa kikubwa cha pili duniani baada ya Greenland. Mahali pa Guinea Mpya duniani Guinea Mpya Eneo la kisiwa limegawiwa kati ya mataifa mawili: upande wa magharibi ni mikoa ya Indonesia ya Papua na Papua Magharibi. upande wa mashariki ni nchi huru ya Papua Guinea Mpya