Junya Ito
From Wikipedia, the free encyclopedia
Junya Ito (伊東 純也; alizaliwa 9 Machi 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Japani. Anachezea timu ya taifa ya Japani.
Ito alicheza kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa ya Japani tarehe 9 Desemba 2017 dhidi ya Korea Kaskazini. Ito alicheza Japani katika mechi 17, akifunga mabao 2.[1]