Kaizari Titus
From Wikipedia, the free encyclopedia
Titus Flavius Vespasianus (30 Desemba 39 – 13 Septemba 81) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 24 Juni 79 hadi kifo chake.
Alimfuata baba yake, Vespasian. Kabla hajawa Kaizari, alikuwa jemadari hodari; k.m. alivamia mji wa Yerusalemu mwaka wa 70 na kubomoa hekalu lake ingawa hakukusudia kufanya hivi.