KalimantanFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kalimantan (inajulikana pia kwa jina la Borneo ya Indonesia) ni sehemu kubwa ya kisiwa cha Borneo iliyopo Indonesia.[1] Sehemu hii ni asilimia 73 za eneo lote la kisiwa hicho. Sehemu nyingine zisizo za Indonesia ni Brunei na Malaysia ya Mashariki. Ramani ya Kalimantan na sehemu zake
Kalimantan (inajulikana pia kwa jina la Borneo ya Indonesia) ni sehemu kubwa ya kisiwa cha Borneo iliyopo Indonesia.[1] Sehemu hii ni asilimia 73 za eneo lote la kisiwa hicho. Sehemu nyingine zisizo za Indonesia ni Brunei na Malaysia ya Mashariki. Ramani ya Kalimantan na sehemu zake