KiongoziFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kiongozi ni mtu ambaye huongoza kikundi cha watu[1]. Mara nyingi kiongozi hupewa heshima ya juu katika jamii, kikundi cha watu au katika familia ambapo huheshimiwa na watu wote katika eneo husika analolisimamia kiongozi kwa ajili ya kuwaongoza watu. Kiongozi wa Tanzania,J.P. Magufuli
Kiongozi ni mtu ambaye huongoza kikundi cha watu[1]. Mara nyingi kiongozi hupewa heshima ya juu katika jamii, kikundi cha watu au katika familia ambapo huheshimiwa na watu wote katika eneo husika analolisimamia kiongozi kwa ajili ya kuwaongoza watu. Kiongozi wa Tanzania,J.P. Magufuli