Kuriakose Elias Chavara
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kuriakose Elias Chavara (10 Februari 1805 - 3 Januari 1871) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki la Kisiria la Malabar nchini India.
Alianzisha mashirika ya kitawa, moja kwa ajili ya wanaume na lingine kwa ajili ya wanawake.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza kuwa mwenye heri tarehe 8 Februari 1986, halafu Papa Fransisko akamtangaza mtakatifu tarehe 23 Novemba 2014.