Lee van Cleef
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lee Van Cleef (Alizaliwa tar. 9 Januari 1925 – 16 Desemba 1989). Alikuwa muigizaji wa filamu wa marekani, aliyeonekana zaidi katika filamu za western hasa filamu za mapigano.
Umbo lake la uso ambamo macho yamezama ndani yamemfanya kiupeo kuwa yeye ni "mtu mbaya" ingawaje mara nyingi alikuwa akicheza kama shujaa, Mwindaji wa kimaslahi katika filamu ya For a Few Dollars More.