LuzonFrom Wikipedia, the free encyclopedia Luzon ni kisiwa kikubwa zaidi katika Ufilipino. Iko kaskazini mwa nchi. Mji mkuu wa Manila uko Luzon, pamoja jiji la Quezon ambalo ni jiji kubwa nchini [1]. Picha ya ramani ikionyesha Sehemu ya Luzon kati ya visiwa vya Ufilipino Eneo la Luzon ni kilomita za mraba 108,172 na idadi ya wakazi ni zaidi ya milioni 48.
Luzon ni kisiwa kikubwa zaidi katika Ufilipino. Iko kaskazini mwa nchi. Mji mkuu wa Manila uko Luzon, pamoja jiji la Quezon ambalo ni jiji kubwa nchini [1]. Picha ya ramani ikionyesha Sehemu ya Luzon kati ya visiwa vya Ufilipino Eneo la Luzon ni kilomita za mraba 108,172 na idadi ya wakazi ni zaidi ya milioni 48.