Milima Santa Catalina
From Wikipedia, the free encyclopedia
Milima Santa Catalina ni safu ya milima ya Arizona (Marekani).
Urefu wake katika mlima Lemmon unafikia hadi mita 2,791 juu ya usawa wa bahari.