Mkoa wa Amasya
From Wikipedia, the free encyclopedia
Amasya ni moja kati ya mkoa wa Uturuki. Upo katika eneo la Mto Yeşil Kanda ya Bahari Nyeusi kwa upande wa kaskazini mwa nchi. Una eneo la kilomita za mraba zipatazo 5,520. Idadi ya wakazi ya mkoani hapa imefikia kiasi cha 352,452.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Amasya nchini Uturuki, Maelezo ...
Mkoa wa Amasya | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Amasya nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 5520 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 352,452 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 05 |
Kodi ya eneo: | 0358 |
Tovuti ya Gavana | http://www.amasya.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/amasya |
Funga