Nilgai
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...
Nilgai | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Nilgai wanaocheza Uhindi (Boselaphus tragocamelus) | ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Msambao wa nilgai porini | ||||||||||||||||||
Funga
Nilgai ni mnyama mkubwa wa pori wa spishi Boselaphus tragocamelus katika familia Bovidae. Huyo ndiye mnyama pekee katika jenasi Boselaphus.[1] Nilgai, anayeitwa nilgau pia, ndiye palahala mkubwa kabisa wa Asia. Ni mmoja wa wanyama pori wa kawaida kuonekana Uhindi ya kati na kaskazini, na huona mara nyingi katika ardhi ya shamba au pori. Madume wazima hufanana kidogo na ng'ombe, na hujulikana pia kama "fahali wa buluu". Nilgai wanaishi Uhindi na sehemu za Nepali ya kusini na Pakistani ya mashariki. Spishi hiyo imetoweka Bangladesh.