Paterni wa Vannes
From Wikipedia, the free encyclopedia
Paterni wa Vannes (au Paternus, Paterne, Patier, Pair, Padarn; alizaliwa karne ya 5 - alifariki 490/511) alikuwa askofu wa kwanza wa Vannes, Bretagne (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 467 hivi hadi kifo chake [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.