Philadelphia 76ers
Timu ya mpira wa kikapu kutoka Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
Philadelphia 76ers ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Philadelphia, Pennsylvania. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Katika Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani, inacheza Tawi la Atlantic 'Atlantic Division' katika Ligi ya Mashariki 'Eastern Conference'[1][2][3].
Mjini Philadelphia, Katiba ya Uhuru lilisaini katika mwaka 1776, ambayo ni sababu ya jina la ‘76ers’[4].
Dola bilioni mbili ni “thamani ya inakadiriwa” ya timu (‘franchise’) ya 76ers (2020)[5]. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Joel Embiid, Ben Simmons.