Ritsu Doan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ritsu Doan (堂安 律; alizaliwa 16 Juni 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Japani. Anachezea timu ya taifa ya Japani.
Doan alicheza kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa ya Japani tarehe 11 Septemba 2018 dhidi ya Kosta Rika. Doan alicheza Japani katika mechi 18, akifunga mabao 3.[1]