Tabaruku
From Wikipedia, the free encyclopedia
Tabaruku ni utangulizi wa kitabu au kazi yoyote ile ya fasihi inayoandikwa na mwandishi mwenyewe.
Insha nyingine yenye maudhui ya kitangulizi huandikwa na mtu, tofauti ni dibaji na huitangulia tabaruku ya mwandishi.
Tabaruku hukaribiana na shukrani kwa watu ambao walisaidia kazi ya fasihi.[1][2]