UkinzaniFrom Wikipedia, the free encyclopedia Ukinzani ni zuio la upitaji wa umeme. Kifaa kinachotoa ukinzani kwenye sakiti huitwa kikinza au kikinzani [1]; pia: kikinzanishi[2] au resista [3]. Ukinzani hupimwa kwa omu mita wakati kikinza hupimwa kwa omu.
Ukinzani ni zuio la upitaji wa umeme. Kifaa kinachotoa ukinzani kwenye sakiti huitwa kikinza au kikinzani [1]; pia: kikinzanishi[2] au resista [3]. Ukinzani hupimwa kwa omu mita wakati kikinza hupimwa kwa omu.