Uwanja wa michezo wa Peter Mokaba
Uwanja wa Michezo wa Mokaba ni Chama na Uwanja wa mpira wa miguu huko Polokwane, zamani ulikua Pietersburg nchini Afrika Kusini. / From Wikipedia, the free encyclopedia
Uwanja wa Michezo wa Mokaba ni Uwanja wa mchezo wa mpira wa miguu na uwanja wa unaomilikiwa na chama cha mchezo cha Ragby huko Polokwane, zamani ulikua Pietersburg nchini Afrika Kusini,ambapo uwanja huu ulitumika katika Kombe la Dunia mwaka 2010. Una una uwezo wa kuchukua watu takribani 45,500 lakini kwa matakwa ya Kombe la Dunia la FIFA mnamo mwaka 2010 nafasi za kukaa zilipunguzwa hadi 41,733[1]