Wazaramo
Makabila ya pwani ya Tanzania / From Wikipedia, the free encyclopedia
Wazaramo ni kabila la watu kutoka eneo la Dar es Salaam, baina ya Rufiji na Bagamoyo, nchini Tanzania. Mwaka 2000 idadi ya Wazaramo ilikadiriwa kuwa 656,730 [1]. Lugha yao ni Kizaramo. Katika eneo la Rufiji wanajulikana pia kwa jina la Wamyagatwa.