Zenobi wa Firenze
From Wikipedia, the free encyclopedia
Zenobi wa Firenze (Firenze, Italia ya Kati, 337 hivi - Firenze, 417 hivi) alikuwa askofu maarufu wa mji huo, aliyejitahidi kuinjilisha eneo lote la kandokando na kupinga Uario[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.