Maumivu ya kichwa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Maumivu ya kichwa (kwa Kiingereza "headache") ni maumivu ya aina 220[1] tofauti yanayotokea sehemu za kichwa bila hicho kugongwa kwa nje.
Sababu za ndani za maumivu hayo ni kama vile:
- homa
- kusoma au kutazama kompyuta au televisheni kwa muda mrefu
- uchovu au usingizi
- kifafa au matatizo mengine ya neva
Maumivi mengi yanapozwa na dawa, k.mf. aspirini.