Edilburga
From Wikipedia, the free encyclopedia
Edilburga (jina asili: Æthelburg; alifariki Faremoutiers-en-Brie, karibu na Meaux, Ufaransa, 7 Julai 664) alikuwa binti mfalme Anna wa Anglia Mashariki, katika Uingereza wa leo, halafu mmonaki na hatimaye abesi baada ya dada yake Seathrid[1].
Alimtukuza Mungu kwa ubikira wake na kwa kujinyima sana[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.