Papa Klementi IV
Papa (1265-1268), muangalizi wa Roger Bacon & Thomas Aquinas / From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Klementi IV (23 Novemba mwaka usiojulikana – 29 Novemba 1268) alikuwa Papa kuanzia tarehe 5/22 Februari 1265 hadi kifo chake[1]. Alitokea Saint-Gilles, Ufaransa[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gui Foulques.
Alimfuata Papa Urbano IV akafuatwa na Papa Gregori X.