Papa Klementi VIII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Klementi VIII (24 Februari 1536 – 3 Machi 1605) alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Januari/9 Februari 1592 hadi kifo chake[1]. Alitokea Fano, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ippolito Aldobrandini.
Alimfuata Papa Inosenti IX akafuatwa na Papa Leo XI.