Wasomali ni kabila kubwa la watu wa jamii ya Wakushi wanaoishi katika eneo linaoitwa Pembe ya Afrika ambalo ni eneo linalopakana na Bahari ya Hindi na kugawanyika kati ya nchi asili nne : Somalia , Kenya , Ethiopia na Jibuti .
Ukweli wa haraka Maeneo penye idadi kubwa kiasi, Lugha ...
Wasomali Soomaali صوماليون
Maeneo penye idadi kubwa kiasi
Pembe ya Afrika
Somalia
milioni 16 + (2019)
[1]
Ethiopia
milioni 8.5 (2017)
[2]
Kenya
milioni 2.4–3 (2009-2018)
[3]
Jibuti
534,000 (2017)
[4]
Yemen
400,000–1,133,000
[5] [6]
Marekani
145,812 (+/-6,666)
[7]
Ufalme wa Muungano
98,000–250,000
[8]
Falme za Kiarabu
90,900
[9]
Omani
80,000
[10]
Uswidi
66,369–95,000
[11] [12]
Kanada
62,550
[13]
Tanzania
60,000
[14]
Norwei
43,196
[15]
Uganda
41,515
Afrika Kusini
40,000
[16]
Uholanzi
39,737
[17]
Ujerumani
38,675
[18]
Saudi Arabia
34,000–67,500
[19]
Misri
22,709
[20]
Denmark
21,210
[21]
Ufini
20,007
[22]
Australia
16,169
[23]
Italia
8,228
[24]
Uswisi
7,025
[25]
Austria
6,161
[26]
Uturuki
5,518
[27]
Zambia
3,000–4,000
[28] [29]
Ubelgiji
2,627
[30]
Eritrea
2,604
[31]
Ufaransa
2,568
[32]
Pakistan
2,500
[33]
Libya
2,500
[34]
Lugha
Kisomali
Dini
Karibu wote: Uislamu (Sunni , Sufi ) Wachache pia: Shia , Ukristo au Ukanamungu
Funga
Ramani ya koo .
Idadi ya Wasomali walioko Somalia ni kama milioni 15, Ethiopia milioni 8.5, Kenya ni karibu milioni 2.5 au 3 [35] na Jibuti zaidi ya nusu milioni. Walioko nje ya eneo asili pia ni wengi, hasa huko Yemen . Jumla yao ni milioni 28-30.
Lugha yao ni Kisomali , mojawapo kati ya lugha za Kikushi .
Dini yao ni Uislamu .