Filibati wa Jumieges
From Wikipedia, the free encyclopedia
Filibati wa Jumieges (Gascony, 616 ā 20 Agosti 684) tangu ujanani, baada ya kulelewa katika ikulu, alikuwa mmonaki na mwaka 650 akawa abati[1].
Baadaye alianzisha monasteri mbili zilizofuata kanuni ya Mt. Kolumbani[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.