Uislamu nchini Komori
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kulingana na makadirio yaliyofanywa mwaka wa 2006 na Wamarekani - inasemekana asilimia 98 ya wakazi wa Komori ni Waislamu. Waislamu wengi wa Komori ni Sunni wanaofuata mafunzo ya imam Shafi. Waumini walio wengi ni Waarabu-Waswahili au Waajemi, lakini pia kuna watu wenye asili ya Kihindi.
Uislamu kwa nchi | ||||
|