Uislamu nchini Namibia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uislamu nchini Namibia ni dini ya tatu kwa ukubwa baada ya Ukristo na dini za jadi za wenyeji.
Uislamu kwa nchi | ||||
|
Idadi kamili ya Waislamu nchini humo ina mgogoro kidogo; makadirio yanaonesha kuna asilimia chini ya 1[1] hadi 3 ya wakazi wote wa nchini humo.[2]