Uislamu nchini Tanzania
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uislamu ni mojawapo kati ya dini kubwa nchini Tanzania.
Uislamu kwa nchi | ||||
|
Idadi ya wafuasi katika Tanzania haijulikani kikamilifu na makadirio yako kati ya theluthi moja[1] na nusu [2] ya Watanzania wote kwa sehemu ya Tanganyika na 97 - 99% ya jumla ya wakazi wa Zanzibar.[3] Takwimu zote zinazohusu dini katika Tanzania zina mashaka. [4]