Uislamu nchini Gambia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uislamu ni dini yenye wafuasi wengi nchini Gambia, ikiwa na asilimia 95.3 za idadi ya wakazi wote wa nchi hiyo.[1] Sehemu kubwa ya Waislamu wa Gambia ni wa dhehebu la Sunni wanaofuata mwongozo wa Maliki, wenye athira pia ya Usufi. Vilevile kuna nyendo za Wahmadiyya.[2]
Uislamu kwa nchi | ||||
|
Uislamu nchini humo unasifika kwa kushirikiana na makundi mengine ya dini. Baadhi ya makundi hayo ni pamoja na Kanisa Katoliki, Uprotestanti na Dini asilia za Kiafrika.