dini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo / From Wikipedia, the free encyclopedia
Uislamu umepata kuwepo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tangu karne ya 18, wakati wafanyabiashara wa Kiarabu kutoka Afrika ya Mashariki walipo lazimika kuingia ndanindani kabisa kwa lengo la kufanya biashara ya pembe za ndovu. Kulingana na ripoti ya kitabu cha CIA, Waislamu ni asilimia 10 tu ya wakazi wote wa Kongo.[1] Hata hivyo, makadirio ya kweli yalifanywa na Pew Research Project wakiwa wamepata asilimia 1.5 tu.[2]