Uislamu nchini Misri
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uislamu nchini Misri ndiyo dini kubwa nchini ikiwa na wafuasi wapatao milioni 80.
Uislamu kwa nchi | ||||
|
Idadi hii inabeba asilimia 94.7 ya wakazi wote wa nchini humo na hiyo ni kwa mujibu wa sensa yao ya mwaka wa 2010.[1][2]
Karibia Waislamu wa nchi nzima ni wafuasi wa madhehebu ya Wasunni,[3] kukiwa na idadi kiasi ya Shia na Ahmadia.[4]
Tangu mwaka 1980, Misri huhesabiwa kama taifa la kidini ijapokuwa haijatambulika rasmi.[5]