Uislamu nchini Tunisia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uislamu ni dini rasmi ya dola nchini Tunisia. Imekadiriwa ya kwamba sehemu kubwa ya Watunisia hujisebia kuwa ni Waislamu, japokuwa hapajawahi kuwa na sensa ya jambo hilo. Waumini wengi nchini ni wale wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya imamu Maliki, lakini idadi ndogo kabisa ni Ibadhi.[1]
Uislamu kwa nchi | ||||
|