Uislamu nchini Ethiopia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uislamu nchini Ethiopia ni dini ya pili kwa wingi wa waumini ambayo inafuatwa sana baada ya Ukristo.
Uislamu kwa nchi | ||||
|
Kwa mujibu wa sensa ya taifa ya mwaka wa 2007, kuna waumini zaidi ya milioni 25 (au 34% ya wakazi wote) ambao ni Waislamiu.[1]
Uislamu ni dini yenye kundi la watu wengi ambao ni Wasomali, Wafar, Wargobba, Waharari, Waberta, Walaba, na Wasilt'e; pia wafuasi wengi miongoni mwao ni Wagurage na Waoromo.