Uislamu nchini Nigeria
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uislamu nchini Nigeria una idadi kubwa ya waumini kuliko nchi yoyote ile katika Afrika Magharibi. Utafiti wa kituo cha Pew Research Center unakadiria kuwa upo kati ya asilimia 48.5 (2010)[1] na 50.4% (2009).[2][3] Kina CIA wanakadiria kuwa asilimia 50[4] wakati BBC wanakadiria kati ya asilimia 50 (2007).[5]
Uislamu kwa nchi | ||||
|
Waislamu wa Nigeria ni wa dhehebu la Sunni wanaofuta mafundisho ya imamu Maliki, ambao pia hufuata utawala wa sheria ya Kiislamu, yaani, Sharia.