Uislamu nchini Niger
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uislamu nchini Niger ni dini ya kwanza kwa ukubwa. Imani hii hufuatwa na waumini ambao ni zaidi ya asilimia 94 ya idadi ya wakazi wote wa nchini humo,[1] .
Uislamu kwa nchi | ||||
|
Sehemu kubwa ya Waislamu nchini humo ni wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya imamu Maliki wakiwa na athira kiasi za Usufii.