Uislamu nchini Lesotho
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uislamu nchini Lesotho katika mwaka wa 2013 ulikadiriwa kuwa na wafuasi 3,000 kati ya wakazi milioni 2 nchi nzima.
Uislamu kwa nchi | ||||
|
Sehemu kubwa ya jamii ya Kiislamu nchini humo ni kutoka Asia ya Kusini (India, Pakistan, Bangladesh, na Sri Lanka), lakini pia kuna idadi kubwa ya wakazi kutoka Mashariki ya Kati, kama vile Afghanistan.
Waislamu wenye asili ya Asia Kusini, wamekuwa mashuhuri mno hasa kwa kuweza kuanzisha jumuia na taasisi za Kiislamu kadha wa kadha na kufanya biashara vilevile.[1]