Uislamu nchini Moroko
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uislamu nchini Moroko ni dini kubwa sana, ikiwa inachukua asilimia zaidi ya 99 ya jumla ya wakazi wote nchini.[1]
Uislamu kwa nchi | ||||
|
Sehemu kubwa ya Waislamu wa Moroko ni wale wa dhehebu la Sunni wanaofuta mafundisho ya imamu Maliki.